Mwanzo
Mkutano wa BOSS 2022 ni tukio wa tano na wa mwisho za BOSS kutoka Oktoba 2021 hadi Aprili 2022. Tukio hii itasaidia wanachama kuonyesha kazi yao, kujifunza na kuelemishwa. Ni nafasi ya kukutana na wachunguzi wengine.
Jiandikisha
Jiandikisha kuingia mkutano kwa mtandao
Tarehe Muhimu
-
Mkutano kwa mtandao: 26-29 Aprili 2022
-
Mwisho wa kutuma muhtasari: 4 Aprili 2022
-
Kauli ya Wasemaji: 18 Aprili 2022
-
Aanzisho wa Usajili: 10 Machi 2022
Mada ya Mkutano
- Sayansi Wazi
- Utafiti unawezwa kukariri
- Udhibiti wa data ya utafiti
- Uongozi na mpango wa utenzi
- Mifumo ya kupanga utenzi
- Programmu huru na wazi
- Maadili ya sayansi ya data
- Msingi ya biolojia
- Msingi ya biolojia ya vitu hai vinasabibisha magonjwa
- Msingi ya biolojia ya Binadamu/ Wanyama
- Mimea ya msingi ya biolojia
- Siri ya msingi ya biolojia
- Afya
- Viini huweza kuua ni madawa
- Magonjwa zinapelekwa na madudu
- Magonjwa ya wanyama wanakulwa
- Magonjwa ya wabinadamu na wanyama
- Najisi ya maji
- Mkutano wa Washiriki
- Shughuli za sayansi wazi
- Shughuli vipya vya msingi ya biolojia
- Kufanya kazi na kusoma nje ya Kenya
Ratiba ya Mkutano
Siku ya kwanza, Jumanne, 26 Aprili, 2022
Anza | Mwisho | Kipindi 1: Sayansi Wazi | Kichwa | Msemaji | Mratibu |
---|---|---|---|---|---|
8:00 | 8:10 | Fungua mkutano | Karibu kwa mkutano | Mratibu: Pauline Karega | |
8:10 | 8:20 | BHKi na Open Science KE ni nini? | |||
8:20 | 9:00 | Hotuba imealikiwa 1: Sayansi Wazi | Sara El Gebali | Mratibu: Pauline Karega | |
9:00 | 9:10 | Pumziko | |||
9:10 | 9:30 | Kipindi 1.1 | Mratibu: Pauline Karega | ||
9:30 | 9:50 | Kipindi 1.2 | Mratibu: Pauline Karega | ||
9:50 | 10:00 | Swali na Jibu | Mratibu: Pauline Karega | ||
10:00 | 10:10 | Pumziko | Mratibu: Pauline Karega | ||
10:10 | 10:20 | Kipindi 1.4 | Tujulikana kidogo | Mratibu: Pauline Karega | |
10:20 | 10:40 | Kipindi 1.5 | Mratibu: Pauline Karega | ||
10:40 | 11:00 | Kipindi 1.6 | Tumia GitLab kwa tovuti za wasilisho na maelezo binafsi | Benson Muite | Mratibu: Pauline Karega |
11:00 | 11:15 | Swali na Jibu | Mratibu: Pauline Karega | ||
11:15 | 12:00 | Saa ya kujulisha | Mratibu: Pauline Karega | ||
Siku ya pili, Jumatano, 27 Aprili, 2022
Anza | Mwisho | Kipindi 2: Msingi ya biolojia | Kichwa | Msemaji | Mratibu |
---|---|---|---|---|---|
8:00 | 8:40 | Hotuba imealikiwa 2: Msingi ya biolojia | Mratibu: Margaret Wanjiku | ||
8:40 | 8:55 | Kipindi 2.1 | Mratibu: Margaret Wanjiku | ||
8:55 | 9:00 | Pumziko | |||
9:00 | Kipindi 2.2 | Mratibu: Margaret Wanjiku | |||
9:15 | Kipindi 2.3 | Mratibu: Margaret Wanjiku | |||
9:30 | Kipindi 2.4 | Mratibu: Margaret Wanjiku | |||
9:45 | Swali na jibu | ||||
9:55 | 10:00 | Pumziko | |||
10:00 | Kipindi 2.5 | Mratibu: Margaret Wanjiku | |||
10:15 | Kipindi 2.6 | Mratibu: Margaret Wanjiku | |||
10:30 | Kipindi 2.7 | Mratibu: Margaret Wanjiku | |||
10:45 | Swali na jibu | ||||
11:00 | 12:00 | Saa ya kujulisha | Mratibu: Margaret Wanjiku | ||
Siku ya tatu, Alhamisi, 28 Aprili, 2022
Anza | Mwisho | Kipindi 3: Afya | Kichwa | Msemaji | Mratibu |
---|---|---|---|---|---|
8:00 | 8:40 | Hotuba imealikiwa 3: Afya | Mratibu: Caleb Kibet | ||
8:40 | 8:55 | Kipindi 3.1 | Mratibu: Caleb Kibet | ||
8:55 | 9:00 | Pumziko | |||
9:00 | Kipindi 3.2 | Mratibu: Caleb Kibet | |||
9:15 | Kipindi 3.3 | Mratibu: Caleb Kibet | |||
9:30 | Kipindi 3.4 | Mratibu: Caleb Kibet | |||
9:45 | Swali na jibu | ||||
9:55 | 10:00 | Pumziko | |||
10:00 | Kipindi 3.5 | Mratibu: Caleb Kibet | |||
10:15 | Kipindi 3.6 | Mratibu: Caleb Kibet | |||
10:30 | Kipindi 3.7 | Mratibu: Caleb Kibet | |||
10:45 | Swali na jibu | ||||
11:00 | 12:00 | Saa ya kujulisha | |||
Siku ya nne, Ijumaa, 29 Aprili, 2022
Anza | Mwisho | Kipindi 4: Mkutano wa Washiriki | Kichwa | Msemaji | Mratibu: |
---|---|---|---|---|---|
8:00 | 8:55 | Kipindi 4.1 | Mratibu: Michael Landi | ||
8:55 | 9:00 | Pumziko | |||
9:00 | 9:55 | Kipindi 4.2 | Mratibu: Michael Landi | ||
9:55 | 10:00 | Pumziko | |||
10:00 | 11:00 | Kipindi 4.3 | Mratibu: Michael Landi | ||
11:00 | 12:00 | Saa ya kujulisha | |||